Sajili Sherehe Yako Tukio 360

Pata kadi za kisasa za kidijitali za WhatsApp, usimamizi rahisi wa wageni (RSVP), na msafara wa magari ya maharusi.

Kadi & Mialiko ya WhatsApp

Tuma kadi rasmi ya mwaliko yenye jina la mgeni na kiungo cha kuthibitisha mahudhurio (RSVP) moja kwa moja WhatsApp.

Uhakiki wa Wageni Mlangoni (QR Pass)

Kila mgeni anapata kadi yenye QR Code maalum inayohakikiwa haraka mlangoni na wasimamizi wako.

Orodha ya Wageni & Mahudhurio

Fuatilia wageni waliothibitisha kuja, idadi ya viti vilivyobaki, na ripoti ya waliokwishaingia ukumbini.

Magari ya Mahurusi & Coasters za Wageni

Magari safi ya msafara yakiwa na madereva nadhifu na mapambo ya maua kulingana na rangi ya sherehe yako.

Umekwisha sajili sherehe yako? Ingia hapa (Login) →

Taarifa za Sherehe & Mwenyeji

Jaza mawasiliano yako ili kuanza kutengeneza kadi na kusimamia wageni wako.

Quick presets:

Gharama ya Mfumo & Kadi

TZS 2,000 kwa kila mgeni • Kadi za WhatsApp, QR Pass & Scanner

TZS 200,000

✓ Huduma Kamili ya Sherehe

By continuing, you agree to Tukio 360's Terms of Service & Privacy Policy.

Fuatilia Mwaliko au RSVP

Weka namba ya simu au namba ya kadi (Invitation Code) ili kuthibitisha mahudhurio au kupata QR Pass.

(Enter your registered phone number or control code to check RSVP & QR gate pass.)